N - n
-na v. have; have got.
na conj. and; with.
naam ! int. yes ?
nafaka n. grain.
nafasi n. space; time.
nakala n. copy.
namba n. number.
nambari n. number.
namna n. kind; sort.
namna gani ? interro. how ?; in what way ?
nanasi Pl: mananasi. n. pineapple.
-nane num. eight.
nani ? interro. who ?
nasibu n. chance; lottery.
-nawa v. wash one's hands.
nazi n. coconut.
ncha n. point; tip of something.
nchi n. country.
ndama n. calf.
ndani prep. inside.
ndani ya prep. in; inside; into; within.
ndege n. plane; bird.
ndevu n. beard.
ndi- emphat. this is indeed.
ndimu n. lime.
ndio emphat. this is indeed.
ndiyo yes.
ndiyo emphat. this is indeed.
ndiyo yes, that is so.
ndizi n. banana.
ndoa n. marriage; wedding.
ndoana n. hook (for fish).
ndoo n. bucket; pall.
ndoto n. dream.
ndovu n. elephant.
ndugu n. brother; comrade.
ndui n. smallpox.
neema n. grace.
nenda ! v. go !
-nene adj. big; corpulent; fat; thick.
-nenepa v. become fat.
neno Pl: maneno. n. word.
ngalawa n. outrigger canoe.
ngamia n. camel.
ngano n. wheat.
ngao n. shield.
-ngapi ? interro. how many ?; how much ?
-ngara v. glitter.
ngawa n. civet-cat.
ngazi n. ladder.
nge n. scorpion.
ngiri n. warthog.
-ngoja v. wait.
-ngojana v. wait for each other.
ngoma n. dance; drum.
ngozi n. skin (of animal); leather.
ngumi n. fist.
nguo n. cloth; article of clothing; garment; clothes.
-nguruma v. growl; roar (e.g. lion).
ngurumo n. thunder.
nguruwe n. pig.
nguvu n. strength; force.
nguzo n. pillar; post; column.
-ng'aa v. be shining.
ng'ambo n. foreign country.
ng'ambo ya adv. on the other side.
-ng'oa v. uproot.
-ng'oka v. be uprooted.
-ng'olewa v. be uprooted.
ng'ombe n. cow; cattle.
ng'ombe dume n. bull.
ni v. is; are; am.
nia n. intention; aim.
-ning'inia v. swing.
nini ? interro. what ?
ninyi pron. you (plur).
njaa n. famine; hunger.
nje adv. abroad; out; outside.
njema adv. well; fine.
nje ya adv. outside.
njia n. road; path; way; road; route.
njia panda n. fork in a road.
njiwa n. pigeon.
njugu n. groundnut.
-nne num. four.
-noa v. sharpen (edge); whet.
-nono adj. big; fat (animal).
noti n. note.
Novemba n. November.
nta n. wax.
-nuka v. smell bad.
-nukia v. smell good.
nundu n. hump.
nungunungu n. porcupine.
-nung'unika v. grumble.
-nunua v. buy.
nuru n. light.
-nusa v. smell smth.
nusu n. half.
nusura adv. almost.
-nya v. defecate.
-nyakua v. snatch.
nyama n. meat.
-nyamaza v. be quiet; remain silent.
-nyang'anya v. steal; cheat.
nyani n. ape; monkey; baboon.
nyanya n. tomato.
nyanya n. grandmother.
-nyanyua v. lift; pull up.
nyasi n. grass.
nyati n. buffalo.
-nyauka v. wither.
-nyemelea v. stalk.
nyenje n. beetle.
nyerere n. wire.
-nyesha v. rain.
-nyima v. be mean.
-nyoa v. shave.
nyoka n. snake.
-nyonga v. twist the nake of an animal.
nyongo n. bile; gall-bladder.
-nyonya v. suck out; suck (in mouth).
nyonyo n. castor-oil bean.
-nyooka v. become straight.
-nyoosha v. straighten.
nyororo adj. smooth, soft.
nyota n. star.
nyuki n. bee.
nyuma adv. at the back; at the rear; behind.
nyuma ya adv. behind; after.
nyumba n. house.
nyumbu n. gnu; wildebeest.
nyundo n. hammer.
nyungunyungu n. worm.
nyuni n. bird.
-nyunyizia v. sprinkle.
-nywa v. drink.
-nyweka v. be drinkable.
nywele n. hair.
-nywewa v. be drunk.
nzi n. fly.
nzige n. locust.
nzuri ! int. well !