N - n

nail msumari
naked -tupu
name jina
nape of neck kisogo
narrate -simulia
narrow -embamba
narrow strip of leaf for weaving mats ukili
nasal mucus makamasi
nasty -baya
nation watu
· taifa
native -a kienyeji
navel kitovu
near karibu na
nearby karibu
necessary -a lazima
· lazima
neck shingo
need haja
· -hitaji
needle sindano
neighbor jirani
neighbour jirani
nephew mpwa
nest kiota
net wavu
network wavu
never kamwe
nevertheless lakini
· bali
new -pya
news maarifa
· habari
newspaper gazeti
next karibu na
next month mwezi ujao
next week wiki ijayo
nice -ema
· -zuri
niece mpwa
night usiku
nine tisa
· kenda
ninety tisini
ninth -a kenda
· -a tisa
no siyo
· hapana
no ! la !
· aha !
no problem hamna shida
noise kelele
noon adhuhuri
north kaskazini
nose pua
not at all hata kidogo
· kamwe
not many -chache
not once kamwe
not yet bado
note noti
notice tangazo
November Novemba
now sasa
· je
now and then mara kwa mara
number nambari
· namba
· idadi
nurse mlezi
nursing uuguzi
nut kokwa
nut of oil-palm kokwa